SOLAR BATTRY


Solar Battry
Unapotaka kuchagua betri ipi ya solar ununue ni lazima ujue aina ya solar battry zilizopo sokoni.
Watu wengi sana wanaponunua solar za majumbani (home solar system) huwa hawakumbuki kufanya utafiti ya aina gani ya solar itafaana na mazingira aliyopo kwa kuangalia pia na ubora wa solar battry yake.
Kwa upande wa Tanzania solar zinazopenedelewa zaidi ni mono panel na betri za unga kuliko za maji.

Betri za unga na faida zake.
Tuanze na Betri za Gel ambazo ni moja ya betri za unga, zifuatazo ni faida zakutumia betri za Gel:
1:Matengenezo yake ni rahisi zaidi
2:Inadumu na kuishi mda mrefu kuliko betri yeyote ile
3:Haiongezwi maji
4:Inakaa na moto mda mrefu zaidi
5:Sio rahisi kupasuka.

                                                       

Comments