BEI ZA SOLAR KARIAKOO NA MAENEO MENGINE

Unajuaje sehemu fulani ina bei nafuu kuliko zingine, kuna njia nyingi sana zakujua bei ya bidhaa fulani katika sehemu fulani. Na kwa bahati nzuri bei hutofautiana sehemu moja na nyingine. Kwa mfano bei ya kitu utakayokutana nayo msasani ni tofauti na kariakoo kwa kitu hiko hiko kimoja.
Tuje kwenye upande lengwa wa sola. Pro Solar ni kampuni inayojishughulisha na usambazaji wa solar mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani.
Makao yake makuu ni Dar es Salaam Kariakoo mtaa wa Mafia na Sikukuu.\
Wanasambaza na kuuza panel,battery, chaja, inverter, TV na radio.
Wanapatikana kwa namba 0784846767 au 0763656767.
Je ungependa kujua bei ya sola zetu....?
Basi tufuatilie kwenye blog yetu hii Pro Solar.

Comments