BEI ZA SOLAR PANEL TANZANIA

Kila kampuni ya solar ina bei za solar zilizo tofauti na kampuni nyingine. Na hii inatokana na uimara wa solar panel, teknolojia iliotumika na ushinandani wa kimasoko.
Pro Solar ni kampuni yenye solar panel zenye bei juu kidogo kufananisha na kampuni zingine, na hii inatokana uimara wa panel pamoja na teknolojia.
Panel za Pro solar zina uwezo wakuishi miaka kumi na mbili bila kubadilika kiwango cha ufanyaji kazi wake.
Kupata bei za panel zetu kulingana na watts tupigie 0763656767/0784846767.
#prosolaryatosha
#motozaidi

Comments