FAIDA ZA KUTUMIA SOLAR KAMA CHANZO CHA UHAKIKA CHA NISHATI


Nishati ya Solar ni mojawapo ya nishati bora sana duniani ambayo inafaida nyingi kwa mazingira, wanyama na binadamu pia. Ila bahati mbaya watu wengi sana wanashindwa kutambua faida za kutumia solar kama chanzo cha nishati majubani mwao na maofisini pia. Kwa sasa kampuni ya nishati ya jua inayojulikana kama Pro Solar inakufahamisha faida kedekede zakutumia solar kama chanzo chako cha umeme na mbadala wa umeme wa Tanesco. 1)Hupunguza gharama za umeme wa Kawaida ujulikanao kama umeme wa Tanesco. Hii inatokana na pale unapofunga double wiring kwenye nyumba yako au ofisi na kuset baadhi ya vifaa vyako kutumia umeme wa Solar kwa mfano friji,fan,Tv, Radio au Taa za ndani na nje. 2)Sio rahisi kukatika au kukosa mwanga ndani ya muda fulani. Unapokua na Solar inasaidia kujiamini na kufanya kazi zako zinatotegemea umeme zisisimame pindi umeme unapokatika. 3)Huwazi kuishiwa au kununu LUKU. Umeme wa solar ukifunga umefunga, hautawaza LUKU wala matumizi ya Unit. 4)Ni salama zaidi kwa milipuko ya moto. Sio rahisi kutokea kwa short itayosababisha maafa kwenye makazi yako utakapofunga umeme wa Solar. 5)Ni rafiki mzuri wa Mazingira. Umeme wa Solar hua hauaribu mazingira wala kuathiri wanyama wa eneo husika. Utafanya eneo lako liwe tulivu kabisa. 6)Umeme wa Solar ni Fashion.
KWA MAHITAJI SOLAR SYSTEM UNAWEZA TUPIGIA 0763656767/0784846767. Pia tembelea website yetu www.prosolar2008.com. Facebook@prosolartanzania Instagram@prosolarproduct Twitter@prosolar8.

Comments

Post a Comment