STREET LIGHT


TAA ZA BARABARANI
Taa za barabarani zilizo orijino kutoka ujerumani zinapatikana Pro Solar. Tunakupa na warranty wa miaka miwili utakapionunua na wala hutojutia.
UWEZO
Zipo zenye ukubwa na uwezo tofauti tofauti. Zinaanzia watts 40 na kuendelea kwa bei safi utakayoridhika nayo.
AINA
Kuna taa za barabarani za moja kwa moja yaani( all in one) na taa yakimoja kimoja.
KARIBU PRO SOLAR
                                    0784846767/0763656767

Comments