MANUFAA YAKUTUMIA UMEME WA JUA DHIDI YA UMEME WA AINA INGINE

Umeme jua ni umeme unazalishwa kwa nguvu ya miale ya jua.
Umeme huu umekua tegemeo sana karne 20 kwenda 21 kipindi wakati dunia mzima inahangaika kupata kupata chanzo cha uhakika cha nishati. Hata hivyo baada ya teknolojia kukua kwa kasi ugunduzi mwingi wa chanzo vya nishati viligunduliwa. Kujua namna jinsi gani umeme wa jua ulianza au uligunduliwa usikose kufuatilia toleo lijalo kwa kulike na kushare blog yetu ya Pro Solar....Thank you and see next time.

Comments