UMUHIMU WA SOLA TANZANIA

Tanzania ni nchi inayoendelea kwa kasi sana. Hii tumeangazia kuanzia miundo mbinu, sera za inchi, afya na elimu. Kwani tofauti kabisa na miaka ishirini nyuma.
Tunakuja kwa upande wa sola. Matumizi ya sola ni muhimu sana kwa inchi kama Tanzania. kwani hata inchi zilizoendelea bado wanatumia sola. Kwa mfano Ujerumani, Uingereza, Marekani na Ufaransa.
Kwani umuhimu wa sola ni mkubwa mno na matumizi yake hauwezi epuka.

The application of solar energy in powering agriculture ...

Kwa kutumia iyo link hapo utagundua sola ina umuhimu gani hata kesho. Hivyo tunaakushauri usiache kutumia sola na kama huna basi nunua ujionee umuhimu wake.
Kwa maelezo zaidi ya WHY SOLAR....tupigie 0784846767/0763656767.

Comments